Changu Chako, Chako Changu-logo

Changu Chako, Chako Changu

RFI France

More Information

Location:

United States

Genres:

Podcasts

Networks:

RFI France

Language:

English


Episodes

Ifahamu Historia ya Comoro

10/27/2018
More
Makala haya ya leo, Ali bilali anakuletea Historia ya visiwa vya Comoro, ambatana naye kufahamu zaidi kuhusu visiwa hivyo, utapata kufahamu pia uungwaji mkono wa wa serikali ya Ufaransa katika kukuza sekta ya sanaa na utamaduni jijini Goma

Duration:00:20:25

Wasanii kutoka Mayotte ndani ya RFI Kiswahili

10/20/2018
More
Juma hili Makala Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali amezungumza na wanamuziki kutoka katika visiwa vya Mayotte ambao wamefanya ziara nchini Tanzania kwa leng la kutangaza muziki wao.

Duration:00:21:06

Pierrette Adams nyota isiozima

10/11/2018
More
Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea kung'ara licha ya umri wake. Sikiliza Makala haya, usikosi pia kutupa mapendekezo yako ni mwanamuziki gani ungelipenda tukuletee juma lijalo. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

Duration:00:11:06

Ifahamu Historia ya Guinea Bissau

10/6/2018
More
Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya watu wa Guinea Bissau, moja miongoni mwa nchi za Afrika magharibi, utapata kufahamu pia tamaduni ya ndoa kwa watu wa kabila la wafipa nchini Tanzania ambapo ni sehemu ya pili.

Duration:00:21:19

Historia ya Jamuhuri ya nchi ya Mali.

9/29/2018
More
Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya jamuhuri ya Mali, ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

Duration:00:20:48

Ifahamu Historia ya jamuhuri ya watu wa Congo

9/22/2018
More
Makala haya ya leo, Ali Bilali anakuletea Historia ya jamuhuri ya watu wa Congo. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

Duration:00:20:14

Fahamu Historia ya Charles Shemererwa Mchoraji aliejiajiri

9/15/2018
More
Charles Shemererwa ni kijana wa Kitanzania aliejiajiri kwa kufanya shughuli ya uchoraji wa vitu mbalimbali, msikilize hapa akieleza alivyoanza shughuli hiyo na wito kwa vijana wenzie.

Duration:00:18:38

Vita vya siku 80, ama vita vya Shaba.

9/8/2018
More
Sikiliza Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anazungumza na mtaalamu wa maswala ya Historia Benjamin Babunga ambae anazungumzia Historia ya vita vya Siku 80, ama la guerre de 80 jours.

Duration:00:20:42

Ifahamau Historia ya Zambia

9/1/2018
More
Makala haya ya leo Ali Bilali anapitia huku na kule kukuletea historia ya jamuhuri ya Zambia

Duration:00:20:34

Fahamu elimu ya Rasta

8/18/2018
More
Hii ni sehemu ya kwanza ya Historia ya Rasta, ambapo Ali Bilali amezungumza na Alexandre Ngonyani ambae anaeleza kuwa ufaswaha zaidi historia ya Rasta.

Duration:00:20:20

Historia ya Mzee King Majuto

8/11/2018
More
Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anakuletea Historia ya mwanamuziki nguli wa vichekesho Amr King Majuto aliewaacha watu na simanzi aliefariki baada ya kuuguwa kwa kipindi kadhaa. Ambatana naye kumsikiliza King Majuto mwenyewe anaelezea historia ya maisha yake. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amiin.

Duration:00:20:27

Miaka 45 tangu kufutwa kwa majina ya Kizungu nchini Zaire

7/21/2018
More
Miaka 45 tangu kufutwa kwa majina ya kizungu kwa wananchi wa Zaire zama hizo ambapo kwa leo ni Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Nini kilitokea, kwanini hatuwa hiyo? ambatana naye Ali Bilali ambae amezungmza na Benjamin Babunga mtaalamu wa Historia ya mambo ya kale.

Duration:00:20:51

Fahamu kuhusu Mapinduzi ya Ufaransa

7/14/2018
More
Makala haya hii leo Ali Bilali anakuletea Historia ya mapinduzi ya Ufaransa, miaka zaidi ya mia mbili iliopita. Ambatana naye kufahamu zaidi nini kiliotokea na kwanini Ufaransa imekuwa sambamba mara kwa mara na Marekani katika maswala ya Dunia.

Duration:00:20:31

Wahamiaji haram wanaokwama katika safari yao kuelekea Ulaya

7/7/2018
More
Juma hili Ali Bilali anazungumza na Mali Ali mtaalamu wa maswala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ambapo leo anazungumzia kuhusu mzozo wa wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiweka maisha yao hatarini katika safari yao kuelekea barani Ulaya.

Duration:00:20:33

Fahamu Historia ya tamasha la filamu Festival de Cannes

6/30/2018
More
Katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anazungumzia kuhusu Historia ya tamasha la filamu Festival International de Cannes. Waigizaji kadhaa wamemiminika huko Cannes kwa ajili ya tamasha hilo kubwa lenye ushawishi mkubwa duniani.

Duration:00:20:30

Histiroa ya tamasha la Filamu Festival de Cannes sehemu ya 3

5/26/2018
More
Makakala haya Ali Bilali anakuletea sehemu ya tatu na ya mwisho kuhusu Historia ya tamasha la Kimataifa la Filamu la huko Cannes ama Festival Internationale de Cannes.

Duration:00:20:18

Fahamu tamasha la filamu Festival de Cannes sehemu ya pili

5/19/2018
More
Sikiliza sehemu ya pili ya Makala changu chako Chako Changu kuhusu tamasha la kimataifa la Filamu Festival Internationale de Cannes. Ugana naye Ali Bilali kufahamu zaidi kuhusu muendelezo ws tamasha hilo. ilamu

Duration:00:20:18

Ifahamu Historia ya siku kuu ya wafanyakazi duniani

5/5/2018
More
Ifahamu historia ya siku kuu ya wafanyakazi duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Mei Mosi ya kila mwaka kote duniani.

Duration:00:20:27

Historia ya Jamuhuri ya Afrika ya kati

4/21/2018
More
Makala haya Changu chako chako Changu, Ali Bilali anakuletea Historia ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati, madhila iliopitia hadi sasa. Ambatana naye kufahamu zaidi nini kilichojiri nchini humo

Duration:00:20:34

Ifahamu Historia ya DRCongo

3/31/2018
More
Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zamani Zaire. Katika Makala Haya mgeni wetu ni Benjamin Babunga, ambatana nao kufahamu mengi zaidi.

Duration:00:20:36