Muziki Ijumaa-logo

Muziki Ijumaa

RFI France

More Information

Location:

United States

Genres:

Podcasts

Networks:

RFI France

Language:

English


Episodes

Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika

11/8/2018
More
Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika na kupata umaarufu Mkubwa Duniani. Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Muziki Ijumaa kuangazia Safari yake ya Kimuziki.

Duration:00:10:32

Pierrette Adams nyota isiozima

10/11/2018
More
Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea kung'ara licha ya umri wake. Sikiliza Makala haya, usikosi pia kutupa mapendekezo yako ni mwanamuziki gani ungelipenda tukuletee juma lijalo. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

Duration:00:11:06

Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour

10/4/2018
More
wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo baada ya serikali ya Ufaransa kuafikiana na familia ambayo ilikuwa haitaki hilo. kufahamu mengi zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika Makala haya, usikose pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali

Duration:00:12:03

Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili.

2/8/2018
More
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kwa mara nyingine tena amekuja kutambulisha wimbo wake mpya ambao unafanya vizuri "Hoi" wimbo ambao unahesabiwa kuwa ni wa 4 tangu pale alipojikita katika muziki. Sikiliza makala haya katika mazungumzo yake na Ali Bilali.

Duration:00:10:35

Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana

2/1/2018
More
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.

Duration:00:11:55

Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa

1/18/2018
More
Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule duniani. ambatana naye kusikiliza na kufaham mengi zaidi kuhusu wanamuziki hawa.

Duration:00:12:03

Mwanamuziki France Gall afariki dunia

1/11/2018
More
Makala haya Muziki Ijumaa Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Ufaransa France Gall aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 kutokana na maradhi ya saratani. Sikiliza Makala haya ili kufaham zaidi maisha ya mwanamuziki huyo.

Duration:00:10:34

G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G

12/14/2017
More
G-Bo Gibanga ni miongoni mwa wanamuziuki jipukizi nchini Burundi ambae amepata mafaanikio makubwa baada ya kutoa niymbo zake kadha ambazo zilipokelewa vizuri na hatimae juma hili amezindua album yake iliokuja kwa jina la 4G, mengi zaidi ambatana naye katika makala haya na Ali Billy Bilali unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali

Duration:00:10:57

Wapenzi wa Muziki wa Rock wamlilia Johnny Hallyday

12/7/2017
More
Ulimwengu wa Muziki wa Rock and Roll wamlilia mwanamuziki wa miondoko hiyo kutoka Ufaransa Johnny Hallyday ambae alifariki usiku wa Desemba 5 kuamkia Desemba 6. Kufahamu zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika makala haya Muziki Ijumaa unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali/

Duration:00:10:53

Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam

11/30/2017
More
Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nchini Tanzania ndio walioshiirki ili kutoa burudani isioweza kusahaulika. Ambatana na Makala haya Ali Bilali anakujuza kwa muhtasar namna ilivyokuwa. usikosi mpia kumfollow kwa instagram.com/billy_bilali/

Duration:00:14:07

Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake

11/16/2017
More
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali

Duration:00:11:47

Samata A na harakati mpya za Muziki

11/9/2017
More
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, sikiliza makala haya kupitia radio yako pendwa rfikiswahili.

Duration:00:11:57

Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume

9/21/2017
More
Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana naye Ali Bilali kufaham zaidi kuhusu historia yao.

Duration:00:10:39

Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal

9/7/2017
More
Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwako Aya Nakamura mwanamuziki raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal ambae ametowa album yake ya kwanza na kufanya vizuri.

Duration:00:10:24

Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha

8/24/2017
More
Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

Duration:00:11:58

AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue

8/3/2017
More
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntaganzaji wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali

Duration:00:11:14

Johnny Clegg kustaafu Muziki

7/6/2017
More
Mwanamuziki Mkongwe wsa muziki ya Kizulu nchini Afrika Kusini mwenye asili ya Uingereza Johnny Cleg anaelekea kustaafu muziki na sasa ameanza mzunguuko wa tamasha katika mataifa mbalimbali, ambatana nami kufaham mengi zaidi

Duration:00:12:10

Genevieve Miss Tanzania 2010 anaekuja kwa kasi katika tasnia ya Muziki party 2

6/29/2017
More
Sehem ya pili na ya mwisho ya mahojiano ya Genevieve mlimbwende aliejikita katika Muziki na ambae anafanya vizuri katika tasnia hiyo. Skiliza Makala haya na kama unalolote la kumshauri au kumuelekeza usisite kufanya hivyo kwa kutuandikia unaweza pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

Duration:00:13:01