
Safari ya Miskit
Karl Schembri
Miskit, mnyama mdogo aina ya stoat, anapopotea msituni, anajikuta akianzisha urafiki usiotarajiwa na mbweha, konokono, na baadhi ya binadamu waliopotea pia. Safari yao ya pamoja inamwongoza katika kugundua nafsi yake na kuwa na ujasiri, huku ikimfunza...
Location:
United States
Networks:
Karl Schembri
Emma Nangila Khakula
Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC)
Swahili Audiobooks
INAudio Audiobooks
Description:
Miskit, mnyama mdogo aina ya stoat, anapopotea msituni, anajikuta akianzisha urafiki usiotarajiwa na mbweha, konokono, na baadhi ya binadamu waliopotea pia. Safari yao ya pamoja inamwongoza katika kugundua nafsi yake na kuwa na ujasiri, huku ikimfunza namna ya kupata maana katika changamoto na hofu za maisha. Hadithi hii ya kuvutia na yenye kugusa moyo, iliyotokana na mhusika wa Mpango wa Ujifunzaji Bora (BLP) wa Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC), inalenga kukuza uelewaji na matumaini kwa watoto waliolazimika kuhama makazi yao na waliopitia matukio magumu. Pia ni nyenzo muhimu kwa walimu na walezi duniani kote, kuwasaidia kushirikisha watoto katika mazungumzo muhimu kuhusu uelewaji wa hisia za wengine, huruma, ustahimilivu, na afya ya akili. Toleo hili la sauti limetumia teknolojia ya sauti jumuishi ili kuunda uzoefu halisi na wa kuvutia wa usikilizaji, ambapo msikilizaji huhisi kama kwamba yupo katikati ya matukio ya hadithi. Duration - 2h 14m. Author - Karl Schembri. Narrator - Emma Nangila Khakula. Published Date - Tuesday, 06 January 2026. Copyright - © 2023 Karl Schembri ©.
Language:
Swahili
Mwanzo wa Hadithi
Duración:00:00:48
Intro
Duración:00:00:31
1 Alichukuliwa na Upepo wa Matukio
Duración:00:06:19
2 Mbweha Aliyekimbia
Duración:00:07:54
3 Nguvu ya Ajabu ya Siri
Duración:00:07:36
4 Vuta Pumzi Taratibu, Toa Polepole
Duración:00:08:30
5 Kilichomfanya Mbweha Akimbie
Duración:00:07:30
6 Familia Mbioni/ Familia Katika Safari ya Kukimbia
Duración:00:04:46
7 Marafiki Wapya/ Marafiki Wapya Wanaopatikana Njiani.
Duración:00:11:06
8 Kutafuta Mahali Salama/Kutafuta Hifadhi
Duración:00:13:28
9 Kuvuka Mto Mkubwa
Duración:00:06:30
10 Akiwa Peke Yake Duniani
Duración:00:03:16
11 Anazidi Kukaribia Lengo
Duración:00:06:42
12 Kusikiliza kwa Makini
Duración:00:08:38
13 Alichopitia Mariam
Duración:00:11:28
14 Konokono Aliyesaidia Kuharakisha Safari
Duración:00:04:48
15 Kukutana Tena kwa Furaha Kubwa
Duración:00:06:50
16 Mpango wa José
Duración:00:10:46
17 Nyumba Mpya, Mbali na Nyumbani
Duración:00:05:58
Mwisho wa Hadithi
Duración:00:01:10