Habari RFI-Ki-logo

Habari RFI-Ki

RFI

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Location:

United States

Networks:

RFI

Description:

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Language:

Swahili

Episodes
Ask host to enable sharing for playback control

Maoni ya msikilizaji kuhusu yaliojiri nchi mwake wiki hii

5/7/2024

Duration:00:10:06

Ask host to enable sharing for playback control

Je siku ya wafanyikazi duniani ina maana gani kwa msikilizaji

5/3/2024

Duration:00:10:09

Ask host to enable sharing for playback control

Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo

4/30/2024
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia

Duration:00:10:00

Ask host to enable sharing for playback control

Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki

4/30/2024
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa

Duration:00:10:13

Ask host to enable sharing for playback control

Sikiliza maoni yako kwenye makala Habari Rafiki Mada huru

4/26/2024

Duration:00:10:00

Ask host to enable sharing for playback control

Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu

4/25/2024
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.

Duration:00:09:51

Ask host to enable sharing for playback control

Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali

4/24/2024
Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato

Duration:00:09:53

Ask host to enable sharing for playback control

Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo

4/23/2024

Duration:00:09:52

Ask host to enable sharing for playback control

Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC

4/23/2024
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.

Duration:00:09:52

Ask host to enable sharing for playback control

Maoni yako kwenye mada huru makala habari rafiki

3/29/2024

Duration:00:09:41

Ask host to enable sharing for playback control

Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal

3/27/2024

Duration:00:09:48

Ask host to enable sharing for playback control

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.

3/26/2024
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi. Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria. Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje? Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?

Duration:00:09:57

Ask host to enable sharing for playback control

Viongozi wa jumuiya ya SADC wakubaliana kuendelea kuisaidia DRC

3/26/2024

Duration:00:09:31

Ask host to enable sharing for playback control

Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana

3/20/2024
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake

Duration:00:10:08

Ask host to enable sharing for playback control

DRC yarejesha adhabu ya kifo ikiwalenga wahaini

3/20/2024

Duration:00:10:19

Ask host to enable sharing for playback control

Rais wa Rwanda Paul Kagame na Felix Tshisekedi kukutana kwa masharti

3/20/2024

Duration:00:09:31

Ask host to enable sharing for playback control

Kila Ijumaa ni nafasi kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili

3/15/2024
Kila Ijumaa una nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya makala Habari Rafiki, kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Juma hili haya ni baadhi ya maoni yako.

Duration:00:10:03

Ask host to enable sharing for playback control

Kenya : Yasitisha mpango wa kutuma polisi Haiti

3/13/2024
Kenya imetangaza kusitisha mpango wa kutuma polisi wake 1000 nchini Haiti baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Ariel Henry. Hata hivyo, inasema mpango huo utaendelea baada ya kupatikana kwa serikali mpya. Unazungumzia vipi uamuzi huu wa Kenya ? Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Duration:00:09:51

Ask host to enable sharing for playback control

Dunia: Mwezi mtukufu wa Ramadhan waanza rasmi

3/12/2024
Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa. Serikali zetu zifanye nini kupunguza mfumko wa bei za bidhaa? skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako

Duration:00:09:55

Ask host to enable sharing for playback control

Ukeketaji donda sugu UNICEF yasema

3/11/2024
Katika makala haya ya Habari Rafiki, tunajadili kauli ya shirika la kutetea haki za watoto la UNICEF, kwamba wasichana milioni 230 duniani wamekeketwa, ikiwa ni ongezeko la asilimia tano katika kipindi cha miaka nane takwimu hizi zikitia hofu. Unadhani tunapashwa kubaliana vipi na tamaduni hii ? Skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako

Duration:00:10:00