The Vijana Tech Podcast-logo

The Vijana Tech Podcast

Education Podcasts >

Teknolojia inavyogusa - Kitaa, Biashara, Ujasiriamali, Fursa, Mahusiano, Changamoto na kila kitu kuhusu ujana wetu. #VijanaTech

Teknolojia inavyogusa - Kitaa, Biashara, Ujasiriamali, Fursa, Mahusiano, Changamoto na kila kitu kuhusu ujana wetu. #VijanaTech
More Information

Location:

Tanzania

Description:

Teknolojia inavyogusa - Kitaa, Biashara, Ujasiriamali, Fursa, Mahusiano, Changamoto na kila kitu kuhusu ujana wetu. #VijanaTech

Language:

Swahili

Contact:

255688854545


Episodes

[E3] Jinsi ya kufanya Branding na Bakari Mkambo | #TheVijanaTalk

8/14/2019
More
Jinsi ya kufanya branding katika biashara na muongozo wa kutengeneza brand. Guest host Bakari Mkambo ambae ni Digital designer. Instagram: http://bit.ly/In-stagram Spotify: http://bit.ly/Spoti-fy Facebook: http://bit.ly/Faceb-ook Hosts: Babere Gesase Instagram: https://www.instagram.com/kingbaberre/ Twitter: https://twitter.com/kingbaberre Fredrick Mallya Instagram: https://www.instagram.com/fredy_grand... Guest Host: Bakari...

Duration:00:29:06

[E2] - Mitandao Ya Kijamii | #TheVijanaTalk - (PART 1)

7/24/2019
More
Leo tumekaa na mgeni Warda Mansour na kuongelea jinsi mitandao ya kijamii inavyoleta faida na hasara, pamoja na msongo wa mawazo katika vijana. Instagram: http://bit.ly/In-stagram Spotify: http://bit.ly/Spoti-fy Facebook: http://bit.ly/Faceb-ook Hosts: Babere Gesase Instagram: https://www.instagram.com/kingbaberre/ Twitter: https://twitter.com/kingbaberre Website: http://babere.com/ Fredrick Mallya Instagram: https://www.instagram.com/fredy_grand... Guest Host: Warda...

Duration:00:27:31

[E1] - Safari Ya Kujiajiri na Challenges zake | #TheVijanaTalk

7/9/2019
More
Jinsi tulivyoanza kujiajiri katika industry ya Photography na Digital Services. Pia na Challenges tulizokutana nazo. Hosts: Babere Gesase | Co-founder at Starbrand Creative Instagram: @kingbaberre Twitter: @kingbaberre www.babere.com Fredrick Mallya | Founder at Grandlens Studio Instagram: @fredy_grandlens Video Version: YouTube: The Vijana Talk Instagram: @thevijanatalk

Duration:00:27:28

Intro na Fursa 3 za Biashara [Episode #1]

2/2/2019
More
Leo nimezungumzia fursa 3 za biashara zinazopo kwenye sekta ya teknolojia. Fursa hizi 3 utaweza kuzifanya bila kuacha kazi unayofanya sasa hivi. Kwa maoni na maswali nicheki Instagram na Twitter @kingbaberre. Karibu!

Duration:00:08:31