SBS Swahili-logo

SBS Swahili

News & Politics Podcasts

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Location:

Australia

Description:

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Language:

Swahili


Episodes

Cecil "Karibuni tuchangie tamaduni yawarundi katika siku yakina mama"

5/6/2021
Viongozi wa jamii yawarundi wanao ishi mjini Sydney, Australia wana andaa sherehe maalum kwa niaba yakina mama katika jamii yao, baada ya vizuizi vya COVID-19 kuwazuia kufanya hivyo mwaka jana.

Duration:00:09:00

Wito waongezeka kufanya udhibiti wa kulazimisha uwekosa la jinai

5/4/2021
Wanaharakati wakupinga ukatili wa nyumbani, wanataka tabia zakudhibiti ambazo maranyingi hufuatwa na unyanyasaji wakimwili zifanywe kuwa jinai.

Duration:00:13:51

Taarifa ya habari 4 Mei 2021

5/4/2021
Jimbo la Magharibi Australia kusaidia jamii yawahindi jimboni humo kutuma msaada kwa jamaa wao nchini India, na serikali ya jimbo la NSW, kuwekeza katika teknolojia kuunda chanjo za mRNA

Duration:00:10:43

Rais wa Somalia atangaza ameachana na nia yakusalia madarakani

5/2/2021
Baada ya wiki za maandamano na shinikizo kali kutoka vyama vya upanzani, Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo ametangaza kuwa ana achana na nia yake yakusalia madarakani kwa miaka mbili ijayo.

Duration:00:06:43

Taarifa ya habari 2 Mei 2021

5/2/2021
Upinzani wakiri kushindwa katika uchaguzi mkuu wa Tasmania na jimbo la magharibi Australia, laeupuka vizuizi vingine vya coronavirus.

Duration:00:10:51

Baraza lamawaziri wakitaifa lajadili ndege za dharura kwa wa Australia ambao wako India

4/30/2021
Safari za ndege za dharura zina andaliwa kwa niaba yawa Australia ambao wamekwama nchini India baada ya 15 Mei ila, waziri mkuu wa wilaya ya kaskazini amesema, marufuku ya usafiri yanastahili ongezwa hadi mwisho wa Mei au hata jadi Juni.

Duration:00:10:58

Alfred Koech afunguka kuhusu vizuizi vya ghafla Magharibi Australia

4/28/2021
Wakazi wa jimbo la Magharibi Australia wameishi, kwa muda mrefu bila vizuizi vyovyote vya Coronavirus tofauti na wenzao kote nchini Australia.

Duration:00:10:56

Taarifa ya habari 27 Aprili 2021

4/27/2021
Waziri Mkuu Scott Morrison ametetea mfumo wa Australia wa karantini ya hoteli, licha ya wito kwa wasafiri wanao rejea nchini kutoka ng'ambo wajitenge katika vifaa vyakikanda.

Duration:00:13:04

Taarifa ya habari 25 Aprili 2021

4/25/2021
Ibada zimefanyika hii leo kuadhimisha mwaka wa 106, wa vikosi vya Australia na New Zealand kutua katika eneo la Gallipoli nchini Uturuki.

Duration:00:12:56

Utofauti wa tamaduni zawa Anzacs wa Australia

4/24/2021
Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

Duration:00:13:30

Stephen Tongun afunguka kuhusu uigizaji nchini Australia

4/24/2021
Stephen Tongun ni mwanasheria, mjasiriamali na mwigizaji katika tasnia ambako waigizaji wenye asili ya Afrika ni nadra.

Duration:00:14:14

Baraza lamawaziri lakitaifa lakutana, wakati safari za eneo la Trans Tasman zaanza tena

4/20/2021
Baraza lamawaziri lakitaifa lilikutana jana kwa mara ya kwanza, tangu wakati mikutano ya mara mbili kwa wiki ilipotangazwa, kwa ajili yakurejesha mradi wakitaifa wa chanjo katika mwelekeo unao faa.

Duration:00:08:28

Taarifa ya habari 20 Aprili 2021

4/20/2021
Madaktari wameonya kuwa changamoto kubwa ya chanjo ya coronavirus nchini Australia kwa sasa ni pigo kwa imani ya umma.

Duration:00:12:21

Jamii yawatanzania wa Melbourne, yamkumbuka hayati Dkt Magufuli

4/19/2021
Jamii yawatanzania wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wame kuwa waki ishi chini ya vizuizi kadhaa wakati huu wa janga la COVID-19.

Duration:00:11:15

Wakenya wajitokeza kunusuru familia mjini Sydney, Australia

4/19/2021
Jamii yawakenya wanao ishi mjini Sydney, wanasifa ya ukarimu na mshikamano.

Duration:00:16:26

Wakenya walazimisha shirika la fedha ulimwenguni (IMF) kujitetea

4/18/2021
Maelfu yawakenya walijumuika mitandaoni kuonesha ghadhabu yao kwa ongezeko ya madeni, na gharama kubwa ya maisha nchini mwao.

Duration:00:07:15

Taarifa ya habari 18 Aprili 2021

4/18/2021
Wa Australia walio chanjwa kuanza kusafiri kimataifa baadae mwaka huu, na safari kati ya Australia na New Zealand kuanza tena saa sita usiku wa 18 Aprili 2021.

Duration:00:13:02

Jamii yawanyarwanda wa New South Wales, wafunguka kuhusu mauaji ya 1994

4/14/2021
Picha na kanda za video zilizokuwa zikitoka nchini Rwanda katika mwezi wa Aprili 1994, zili kera nakutikisa jamii yakimataifa.

Duration:00:21:17

Je! unajua jinsi yakutambua visa vya unyanyasaji wa nyumbani?

4/13/2021
Takwimu zinaendelea kuonesha kuwa wanawake huathiriwa zaidi kwa maswala ya unyanyasaji wa nyumbani, takwimu hizo zimeonesha pia kuwa, wanaume nao huathiriwa kwa unyanyasaji wa nyumbani.

Duration:00:09:11

Taarifa ya Habari 13 Aprili 2021

4/13/2021
Mdhibiti wamadawa nchini Australia, ametambua kesi ya pili nadra yakuganda kwa damu, ambayo ime ungwa na chanjo ya AstraZeneca.

Duration:00:14:12