
SBS Swahili
News & Politics Podcasts
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Location:
Australia
Genres:
News & Politics Podcasts
Description:
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Language:
Swahili
Episodes
Makala leo: Matendo yakuzomea yachafua huduma za alfajiri
4/28/2026
Waaustralia wameadhimisha Siku ya Anzac kote nchini na katika fukwe ya Gallipoli nchini Uturuki kuwakumbuka waliohudumu katika jeshi.
Duración:00:13:47
Wiki Hii Barani Afrika: Nchi za Afrika Mashariki kujenga kiwanda chakusafisha mafuta Tanga, Tanzania
4/28/2026
Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zime anza mazungumzo kuhusu, ujenzi wa kiwanda chakusafisha mafuta katika bandari ya Tanga, nchini Tanzania.
Duración:00:07:51
Taarifa ya Habari: Waasi wa Touareg wachukua udhibiti wa mji wa Kidal nchini Mali
4/28/2026
Australia itatumia jumla ya dola bilioni 1.2 kutengeneza mamia ya magari ya kijeshi aina ya Bushmaster, na kuboresha magari yanayo lindwa aina ya Hawkei. Dola milioni 750 zimetengwa kutengeneza karibu magari 300 aina ya Bushmaster, ikiwa ni pamoja na magari yaliyo agizwa na serikali ya Uholanzi.
Duración:00:14:27
Makala leo: Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yavunjika tena
4/27/2026
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamevunjika baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutangaza Jumapili kwamba anafuta safari ya mjumbe wake kwenda Pakistan.
Duración:00:11:19
Wiki Hii barani Afrika: Somaliland tayari kuipa Marekani rasilimali zake kwa ajili yakutambuliwa kama taifa
4/24/2026
Uongozi wa Somalilanda, uko tayari kuipa marekani haki za kuchimba madini nakuweka kambi zaki jeshi, kwa ajili yakutambuliwa kama nchi huru.
Duración:00:07:02
SBS Learn Eng Ep 108 Jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha
4/24/2026
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha ukitumia Kiingereza?
Duración:00:09:26
Taarifa ya Habari: Hatimae Tume ya Jaji Chande yatoa ripoti ya vurugu za uchaguzi Mkuu Tanzania
4/24/2026
Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya mabilioni ya dola.
Duración:00:13:44
Makala leo: Watetezi waunga mkono uamuzi wa kuoga bure katika huduma ya utunzaji wa wazee nyumbani
4/24/2026
Wiki hii umakini mkubwa umekuwa kwenye Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu (NDIS), serikali ya shirikisho ikitangaza makato ambayo yanakadiriwa yata ondoa makumi ya maelfu ya watu kwenye mfumo huo.
Duración:00:12:23
The overlooked story: Aboriginal and Torres Strait Islander service on ANZAC Day - Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC
4/23/2026
Each year Australians gather on ANZAC Day to remember those who served in wars, conflicts and peacekeeping missions. But whose stories are we remembering? Are there stories we don’t always hear? In this episode we explore an important part of Australia’s history that has often been overlooked—the service of Aboriginal and Torres Strait Islander peoples. - Kila mwaka Waaustralia hujumuika katika siku ya ANZAC kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani. Lakini tunakumbuka hadithi za nani? Je, kuna hadithi ambazo hatuzisikii kila wakati? Katika makala haya tunachunguza sehemu muhimu ya historia ya Australia ambayo mara nyingi imekuwa ikipuuzwa—huduma ya watu wa Asili na wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait.
Duración:00:08:16
Taarifa ya Habari:Waathiriwa wa maandamano wakataa mapendekezo ya sasa ya kuhusu fidia nchini Kenya
4/23/2026
Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].
Duración:00:05:26
Makala leo: Waombolezaji wa Kitaalamu wa Kenya walipwa kulia
4/21/2026
Unawezaje hakikisha kwamba msiba uta hudhuriwa na watu wengi? Baada ya yote, jambo la mwisho unalotaka kutokea unapo aga dunia... ni kuondoka bila shamra shamra yoyote.
Duración:00:08:37
Wiki Hii barani Afrika:Papa Leo aomba mamlaka ya Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo
4/20/2026
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa mwenyewe 2002.
Duración:00:06:59
Taarifa ya Habari:Australia ya omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz
4/20/2026
Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anasema Australia ina omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran.
Duración:00:13:51
Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC
4/20/2026
Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.
Duración:00:11:11
Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu
4/20/2026
Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).
Duración:00:06:04
Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku
4/19/2026
Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.
Duración:00:07:29
Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"
4/17/2026
Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.
Duración:00:13:51
Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026
4/17/2026
Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.
Duración:00:12:40
SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu
4/17/2026
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?
Duración:00:09:18
Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali
4/17/2026
Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
Duración:00:12:47