Location:

United States

Genres:

Podcasts

Networks:

RFI

Language:

English


Episodes
Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

5/25/2017
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.

Duration:00:09:37

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

1/11/2017
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu. Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.

Duration:00:09:37

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Hofu kwenye familia zenye walemavu wa ngozi

3/31/2015
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya hofu kwa familia zenye watu wenye ulemavu wa ngozi na jamii inayowazunguka magharibi mwa Tanzania.

Duration:00:09:24

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki

3/24/2015
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye miradi ya kikanda inayoshirikisha jumuiya ya afrika ya mashariki.

Duration:00:09:32

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Malbino walengwa Tanzania

3/12/2015
Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.

Duration:00:09:41

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislam

2/27/2015
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislamu katika ukanda wa Afrika ya mashariki.

Duration:00:09:26

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

2/17/2015
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama , rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marekani.

Duration:00:09:19

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Maendeleo ya kijamii kijijini Kogelo

2/11/2015
Katika makala ya Afrika ya Mashariki, tunaangazia juu ya maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake rais wa Marekani Barack Obama.

Duration:00:09:34

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Shule zaitwa “Yeboyebo” Tanzania

1/27/2015
Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa “ Yeboyebo”, na kwa upande mwingine makala haya yanagusia shule binafsi zenye hadhi za kimataifa.

Duration:00:09:23

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiusalama na elimu kwa maalbino

10/27/2014
Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiusalaama na elimu kwa walemavu wa ngozi (albino) waishio mikoa ya kanda ya ziwa magharibi mwa Tanzania.

Duration:00:09:26

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere

10/15/2014
Juma hili, Tanzania imeadhimisha miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Mwanzilishi wa taifa lao Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka 1999. Ni kiongozi ambaye anakumbukwa ndani ya nje ya Tanzania kama anavyobaini Mwandishi wetu Julian Rubavu.

Duration:00:09:28

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Kifo cha baba wa taifa la Tanzania

10/7/2014
Makala haya ya Afrika ya Mashariki ambayo ni sehemu ya kwanza inaangazia kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha mtetezi wa uhuru wa tanzania Julius Kambarage Nyerere.

Duration:00:09:24

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Hati za kusafiria kwa raia wa Afrika ya mashariki

9/5/2014
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi moja hadi nyingine baina ya nchi hizo. Je, kuna changamoto gani katika utekelezwaji wa hatua hiyo? Kujua mengi zaidi, sikiliza makala haya.

Duration:00:09:22

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura

9/5/2014
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati waliokutana mjini Bujumbura nchini Burundi juma lililopita kuzungumzia namna ya kuimarisha amani kinyume na dini yao kuhusishwa na vitendo vya kigaidi

Duration:00:09:29

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - sherehe za nane-nane nchini Tanzania

9/5/2014
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya sherehe za nane-nane zilizoadhimishwa juma lililopita nchini Tanzania. Shere hizo zimemlenga zaidi mwananchi mkulima wa Tanzania. Karibu uungane na baadhi ya raia wa magharibi mwa Tanzania kujua hali ya kilimo ilivyo maeneo yao.

Duration:00:09:34

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa

9/5/2014
Makala ya Afrika ya mashariki huu ni inaangazia juu ya changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa na changamoto maeneo ya mipakani kwa mataifa ya Kenya, Rwanda na Uganda ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya wakuu wa nchi hizo kwa raia wake kutumia vitambulisho hivyo kuingia na kutoka nchi moja hadi nyingine. Makubaliano hayo yameanza kutekelezwa Januari 2014.

Duration:00:09:29

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba

8/8/2014
Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yauapatikanaji katiba mpya nchini Tanzania. Hii ni kuwa wakati huu ndiomuda wa Bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni na kujadili kwa upyarasmu ya pili ya katiba. Kundi la UKAWA wako nje ya Bunge na Kundilingine wako ndani ya Bunge. Je, ni nini Mtazamo wa walioko bungeni nawalioko nje ya Bunge? Kupata mengi ungana na Julian Rubavu.

Duration:00:09:29

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania

7/25/2014
Hii ni sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania.Juma lililopita uliwasikia baadhi ya mashujaa wa Tanzania waliopiganakwenye vita kuu ya pili ya dunia. Leo tutamsikia amiri jeshi mkuu akieleza maana ya siku ya mashujaa na gharama za kulinda taifa.

Duration:00:09:25

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Ujirani mwema kati ya Burundi na Tanzania

7/9/2014
Tunaendelea na sehemu ya pili juu ya juhudi za raia wa Burundi naTanzania kuimarisha uhusiano mwema kupitia mpango wa ujirani mwemamaeneo ya mpakani ambapo si tu viongozi wa serikali, lakini hata raiawameshachukua hatua za kuboresha mahusiano mfano mzuri kupitia michezobaina ya raia wa nchi hizo jirani.

Duration:00:09:27

Ask host to enable sharing for playback control

Afrika Ya Mashariki - Maonesho ya kitaifa-Sabasaba- Tanzania

7/9/2014
Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya maoneshoya kimataifa ya sabasaba yaliyoanza juni 25 na kuhitimishwa Julai 07,2014 mjini Bukoba Tanzania.

Duration:00:09:22