Gurundumu la Uchumi-logo

Gurundumu la Uchumi

RFI France

More Information

Location:

United States

Genres:

Podcasts

Networks:

RFI France

Language:

English


Episodes

Wajasiriamali wadogo wanashirikishwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini Tanzania?

11/13/2018
More
Ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda unaohubiriwa na serikali ya Tanzania. Sabina Mpelo amekuandalia makala ya Gurudumu la uchumi

Duration:00:10:01

Bajeti za nchi za Afrika Mashariki

6/19/2018
More
Makala haya juma hili inazitazama bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ikiwa zitaweza kuzifikisha nchi hizo katika kufikia nchi za vipato vya kati na kuondokana na utegemezi.

Duration:00:10:03

Mkutano wa wakuu wa nchi za G7 na mvutano wao na rais wa Marekani

6/12/2018
More
Makala haya juma hili inaangazia changamoto zilizojitokeza wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi 7a zenye nguvu ya kiuchumi duniani waliokutana nchini Canada, ambapo walivutana pakubwa na rais wa Marekano Donald Trump aliyetangaza kuongeza tozo kwenye bidhaa za chuma na Alminium.

Duration:00:09:47

Namna nishati mbadala inavyoweza kuchochea uchumi wa viwanda

6/5/2018
More
Makala haya juma hili inazungumza na wataalamu wa nishati mbadala hasa wanaotenegeneza nishati mbadala ya kuni namna inavyoweza kusaidia katika ukuaji wa uchumi na kuelekea uchumi wa viwanda.

Duration:00:09:59

Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi

5/29/2018
More
Makala haya juma hili inazungumza na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TanTrade nchini Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba ambayo hufabnyika nchini Tanzania kila ifikapo mwezi wa saba.

Duration:00:09:52

Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, athari za kiuchumi

5/22/2018
More
Makala ya juma hili inaangazia athari za kiuchumi zinazosababishwa na utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi hasa kwa mataifa ya Afrika.

Duration:00:10:03

Athari za kiuchumi kwa nchi ya Iran baada ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia

5/15/2018
More
Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia wa Iran pamoja na kutangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo, je kutakuwa na athari gani kwa uchumi wa dunia?

Duration:00:09:26

Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Israel

5/8/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuanza kurejea kwa mahusiano ya kawaida ya kidiplomasia na kiuchumi kati ya nchi ya Israel na Tanzania, ambapo Tanzania imefungua rasmi ubalozi wake nchini Israel.

Duration:00:10:08

Sehemu ya pili kuhusu umuhimu wa misitu kiuchumi

5/1/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu umuhimu wa misitu nchini Tanzania kiuchumi.

Duration:00:09:02

Umuhimu wa misitu na namna inavyoweza kutumika kibiashara, sehemu ya kwanza

4/24/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta ya misitu kwenye uchumi wa nchi zinazoendelea.

Duration:00:09:22

Ushirikiano kati ya sekta binafsi Tanzania na Ufaransa

4/17/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia mkutano wa hivi karibuni kati ya taasisi ya wafanyabiashara wa sekta binafsi kutoka nchini Ufaransa waliofanya ziara nchini Tanzania kukutana na wenzao wa Tanzania, nini faida za mkutano na ziara hii? Fuatilia makala hay.

Duration:00:10:01

Hali tete ya usalama Sudani Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taofa hilo

4/10/2018
More
Mtangazaji wa makala haya ameangazia hali tete ya usalama inayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan Kusini na namna inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.

Duration:00:09:38

Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na Uchina

4/3/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mzozo wa kibiashara ulioibuka hivi karibuni kati ya Marekani na China ambazo kila mmoja ametangaza kuongeza ushuru wa forodha kutoka katika biadhaa ambazo nchi hizo mbili zinabadilishana, hatua ambayo inatishia kutetereka kwa hali ya biashara ya dunia.

Duration:00:09:44

Umuhimu wa Sekta binafsi barani Afrika hasa wakati huu mkataba wa biashara huria ukiwa umetiwa saini

3/27/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta binafsi katika maendeleo ya bara la Afrika kiuchumi na hasa baada ya hivi karibuni viongozi wa bara la Afrika kukubaliana na kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara hilo, wataalamu wa masuala ya uchumi wanamtazamo gani pamoja na wadau? Ungana na mtayarishaji wa makala haya.

Duration:00:09:46

Sehemu ya pili ya makubaliano ya biashara huria kwa bara la Afrika, Kigali Rwanda

3/20/2018
More
Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu yaliyokubaliwa na viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa Kigali Rwanda ambako walitia saini mkataba wa biashara huria kwa bara la Afrika.

Duration:00:09:50

Hatma ya makubaliano ya biashara huria kwa bara la Afrika yaliyotiwa saini hivi karibuni Kigali, Rwanda

3/13/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya viongozi wa bara la Afrika hatimaye kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara la Afrika ambao ulikubaliwa katika azimio la jijini Kigali, Rwanda. Mkataba huu sasa unamaanisha bara la Afrika litakuwa linauwezo wa kufanya biashara wenyewe kwa wenyewe kabla ya kwenda barani Ulaya.

Duration:00:09:17

Changamoto zinazowakabili wajasiriamali wadogowadogo nchini Tanzania

3/6/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia changamoto ambazo zinawakabili wajasiriamali wadogowadogo nchini Tanzania na namna wanavyoweza kufanya kujikwamua.

Duration:00:09:38

Hali tete ya usalama mashariki mwa DRC na namna inavyoathiri uchumi wa eneo hilo

2/27/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hali ya uchumi wa mashariki wa maeneo ya nchi ya DRC ambako kutokana na hali tete ya usalama, wananchi wanashindwa kushiriki kikamilifu kuijenga nchi yao, viongozi wa eneo hilo wanasemaje licha ya utajiri mkubwa wa madini? Ungana na mtayarishaji wa makala haya.

Duration:00:11:32

Mjadala kuhusu tatizo la Ajira kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati Sehemu ya pili

2/20/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu tatizo la ajira kwa vijana kwenye nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Duration:00:10:06

Ripoti Kuhusu Tatizo la Ajira kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati

2/13/2018
More
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia tatizo la ajira katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati na namna gani Serikali zinapaswa kulishughulikia tatizo hili.

Duration:00:09:15