Jua Haki zako-logo

Jua Haki zako

RFI France

More Information

Location:

United States

Genres:

Podcasts

Networks:

RFI France

Language:

English


Episodes

Haki za wanawake katika nafasi za uongozi nchini DRC

7/29/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi nchini DRC na hasa wakati huu nchi hiyo ikijiandaa kufanya uchaguzi wake mkuu.

Duration:00:08:37

Kupatana kwa nchi za Ethiopia na Eritrea je kuleta uheshimuji wa haki za binadamu

7/22/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa Ethiopia na Eritrea ambapo wametangaza kusitisha vita baina ya nchi zao mbili na kurejesha uhusiano wa kawaida. swali ni je kutaleta ahueni ya haki za binadamu kwa wananchi wa mataifa yote mawili?

Duration:00:09:14

Haki za jamii asilia kwenye maeneo mbalimbali duniani

7/15/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ripoti ya kidunia kuhusu unayang'anywaji wa ardhi kwa jamii asilia zinzoishi kwenye maeneo ambayo Serikali nyingi hapa barani Afrika zimekuwa zikipoka ardhi yao bila fida kwa kisingizio cha maendeleo.

Duration:00:10:07

Haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

7/8/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa katika haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Duration:00:09:20

Janga la wahamiaji duniani, haki zao na wajibu wa nchi wanakokimbilia

7/1/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia haki za wahamiaji na wakimbizi pamoja na wajibu wa nchi ambako wanakimbilia kuomba hifadhi/

Duration:00:10:05

Kujitoa kwa Marekani kwenye baraza la tume ya haki za binadamu

6/24/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Marekani kutangaza kujitoa kwenye baraza la tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa.

Duration:00:10:00

Siku ya mtoto wa Afrika

6/17/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia siku ya kimataifa ya mtoto wa Afrika na madhumuni yake kwa bara hilo.

Duration:00:10:03

Siku ya kimataifa kupinga ajira kwa watoto

6/10/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inakuletea mjadala kuhusu siku ya kimataifa ya kupinga ajira kwa watoto duniani.

Duration:00:10:13

Uwepo wa vituo vya siri vya mateso kwenye nchi za Afrika Mashariki

6/3/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia uwepo wa vituo vya siri vya mateso vinavyotumiwa na polisi kwenye nchi za Afrika Mashariki, kuwatesa watuhumiwa wa makosa mbalimbali.

Duration:00:10:01

Sehemu ya pili haki za raia wa Palestina na Israel katika mzozo wa kuwania ardhi

5/27/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu mzozo kati ya Israel na Palestina, ziko wapi haki za raia wa pande zote mbili?

Duration:00:09:42

Haki za raia wa Palestina na Israel katika mzozo unaoendelea

5/20/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia mzozo kati ya Palestina na Israel, ziko wapi haki za raia wa pande zote mbili katika mzozo wa kuwania maeneo?

Duration:00:10:02

Wanaharakati wataka msichana aliyehukumiwa kunyongwa Sudan aachiwe huru

5/13/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia harakati za watetezi wa haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa wanaotaka Serikali ya Sudan imuachie huru msichana wa miaka 16 aliyehukumiwa kunyongwa baada ya kumuua aliyekuwa mume wake.

Duration:00:09:59

Haki ya kutoa na kupata habari pamoja na wajibu wa vyombo vya habari

5/6/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu haki ya kutoa na kupata habari pamoja na wajibu wa vyombo vya habari kwenye jamii.

Duration:00:09:28

Utekelezwaji wa adhabu ya kifo kidunia

4/29/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia utekelezwaji wa adhabu ya kifo kidunia baada ya ripoti ya shirika la kimataifa la Amnesty International kuonesha kuwa nchi nyingi bado zinatekeleza adhabu ya kunyonga.

Duration:00:09:29

Haki na uhuru wa matumizi ya mtandao barani Afrika

4/15/2018
More
Makala ya jua Haki Zako juma hili inaangazia haki ya matumizi ya mtandao barani Afrika baada ya nchi kadhaa za Afrika Mashariki kutangaza sheria mpya za udhibiti wa uchaoishaji wa taarifa kwenye mtandao.

Duration:00:09:58

Haki za wasafiri sehemu ya kwanza

4/8/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia haki za wasafiri na wamiliki wa vyombo vya usafiri nchini Tanzania.

Duration:00:09:58

Haki ya utawala bora na viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu

4/1/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia masuala ya demokrasia na utawala bora barani Afrika, changamoto ya viongozi wengi kukaa madarakani kwa muda mrefu na kusababisha huduma duni kwa wananchi.

Duration:00:10:01

Sheria za makosa ya ubakaji kwenye nchi za Afrika Mashariki

3/25/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia sheria za makosa ya ubakaji kwenye nchi za Afrika Mashariki na changamoto ambazo jamii inakabiliana nayo katika kuripoti visa vya ubakaji dhidi ya wasichana.

Duration:00:09:59

Ripoti ya UNICEF kuhusu ndoa za utotoni barani Afrika

3/18/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia na kuitathmini ripoti ya shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na watoto UNICEF ambalo limesema ndoa za utotoni bado ni changamoto kwa mataifa mengi ya dunia na hasa barani Afrika na Asia.

Duration:00:10:00

Haki ya kupata elimu kwa mtoto wa kike na wanawake wanasayansi barani Afrika

3/11/2018
More
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu suala la elimu na hasa kwa wanawake ambapo jamii nyingi barani Afrika zimekuwa zikimnyima haki ya kusoma mtoto wa kike, wanasayansi wa kike barani Afrika alikutana Dar es Salaam, Tanzania kuangazia mchango wa wanawake wanasayansi kwenye maendeleo na haki ya kusomesha wasichana.

Duration:00:09:34