Location:

Dar es Salaam, Tanzania

Description:

AWR TANZANIA ni kituo cha radio kinachomilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania,inasikika katika maeneoi ya dar es salaam,morogoro,dodoma,singida,igunga,tabora,shinyanga,bariadi,chato,mwanza,mara,bukoba,kibondo,kigoma,babati,karatu,arusha,moshi,same,tanga,lindi,mtwara,masasi,liwale,tunduru,songea,njombe,mbeya,songwe katika masafa ya kawaida,ni kituo cha radio kinachofundisha,kuelimisha na kuseminisha habari njema za ufalme wa MUNGU katika maisha ya sasa na ya umilele.

Language:

English

Contact:

P.O.BOX 77170,Dar es Salaam,Tanzania 255679321001