Location:

Tanzania

Genres:

Talk

Description:

Msisimko FM ni redio ya mtandaoni kutoka Tanzania inayorusha vipindi moja kwa moja kwa ulimwengu mzima. Tunakuletea mazungumzo ya kusisimua, mafundisho ya injili, vipindi vya vijana na elimu. Tukiwa na dhamira ya kuburudisha, kuelimisha na kuhamasisha jamii, tumejikita katika kauli mbiu yetu: "Tunakusisimua kweli kweli.

Language:

Swahili