Msisimko fm-logo

Msisimko fm

1 Favorite

Msisimko FM ni redio ya mtandaoni kutoka Tanzania inayorusha vipindi moja kwa moja kwa ulimwengu mzima. Tunakuletea mazungumzo ya kusisimua, mafundisho ya injili, vipindi vya vijana na elimu. Tukiwa na dhamira ya kuburudisha, kuelimisha na kuhamasisha...