Usa River Radio ni kituo cha redio kinachojivunia kuwa Sauti ya Jamii – kinachohudumia wakazi wa Usa River na maeneo ya jirani (King'ori, Nkoaranga, Tengeru, Makumira, Kikatiti na Arusha mjini). Lengo letu ni kukuletea: ✅ Habari za haraka, za kweli na...